Mamlaka ya kudhibiti vileo yafunga baa mbili Nairobi

  • | Citizen TV
    1,345 views

    Mamlaka ya kitaifa ya kudhibiti matumizi ya vileo (NACADA) imefunga baa mbili kwa kukiuka sheria hapa jijini Nairobi.