Manusura kwenye jumba lililoporomoka Kisii asimulia alivyokwama kwenye vifusi kwa zaidi ya masaa 6

  • | Citizen TV
    665 views

    Maafisa wa usalama wanamtafuta mmiliki wa jumba la ghorofa tatu lililoporomoka eneo la Bonchari kaunti ya Kisii hapo jana na kuwauwa watu watano. Kwa mujibu wa halmashauri ya ujenzi wa majumba NCA, Mmiliki huyo alikaidi agizo la kutakiwa kusitisha ujenzi kwa sababu za kiusalama. Chrispine Otieno anaarifu zaidi huku mmoja wa manusura akisimulia alivyokwama kwenye vifusi vya jumba hilo kwa muda wa saa sita