Maoni ya Wanarekani kuhusu hali ya uchumi ya sasa

  • | VOA Swahili
    322 views
    Ukusanyaji maoni mpya unaonyesha kwamba baadhi ya Wamarekani wana wasiwasi jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia uchumi, licha ya serikali kutangaza mara kwa mara, takwimu chanya za kiuchumi. Utafiti huo, pia unaonyesha kwamba, kufikia mwishoni mwa mwezi Januari, umaarufu wa Biden, ulikuwa asilimia 38, na unabashiri mapambano makali kati ya rais huyo, na mpinzani wake mkuu, Donald Trump, kwelekea kwa uchaguzi wa mwezi Novemba. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.