Maonyesho yanalenga kuimarisha Utalii

  • | Citizen TV
    151 views

    Ulimwengu ukiadhimisha siku ya utali duniani, washikadau katika sekta ya utali wameandaa sherehe za maadhimisho hayo. maonyesho kabambe yameandaliwa kuuza utali kwa raia wa humu nchini na ughaibuni.