Mapungufu ya Bajeti I Afisi za mama taifa na mkewe naibu rais zapata pigo

  • | KBC Video
    35 views

    Rais William Ruto ametaja sekta zitakazoathiriwa zaidi na hatua ya kupunguza bajeti kwa shilingi bilioni-177 baada ya kutupiliwa mbali kwa mswada wa fedha wa mwaka-2024. Afisi zitazoathiriwa kutokana na hatua ya kupunguza matumizi ya pesa za serikali ni pamoja na ofisi ya mama taifa, mkewe naibu Rais na pia mkewe waziri mwenye mamlaka makuu ambao bajeti zao zimefutiliwa mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive