‘’Mara ya mwisho kuona, nilimuona mama yangu’’

  • | BBC Swahili
    330 views
    Bernadetha Msigwa ambaye pia anajulikana kwa jina la Binti Kipepeo, ni mwandishi wa kitabu cha "Kipenga cha mwisho/The last whistle" ambapo alipata msukumo wa kuandika kitabu hicho kutokana na ulemavu wa macho alioupata akiwa anakaribia kumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Mzumbe nchini Tanzania 2014. Je, ilikuwaje Bernadetha akapata tatizo hili na aliwezaje kukabiliana na hali hiyo? Tazama #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake #tanzania #watu #wenyeulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw