Maria aeleza madhila na hatari za kuuwawa zinazo wakabili

  • | VOA Swahili
    556 views
    Maria Mukundi umri miaka 80 .hivi sasa anaishi katika kambi ya Kanyaruchinya wilayani ya Nyiragongo kaskazini mwa Mji wa Goma. Mzee huyu alikimbia Mji wa Rubare na watoto wake 6 kutokana na mapigano ya M23 kwa sasa aomba kurudi kwake nyumbani na kuiomba serikali kumaliza vita. Ripoti ya mwandishi wa VOA Austere Malivika kutoka DRC. #goma #drc #vita #kambi #wakimbizi #watoto #bibi #voa #voaswahili #m23 #wapiganaji