Martin Nzyuko, mmoja wa vijana waliokuwa wametekwa nyara Mlolongo azikwa Makueni

  • | Citizen TV
    3,424 views

    Familia ya Martin Mwau Nzyuko inalilia haki kuhusu mauaji ya mwana wao ambaye alipatikana ameuwawa mwezi mmoja baada ya kuuwawa. Kwenye mazishi ya Mwauiliyofanyika nyumbani kwao huko Nduu, Kilungu, kaunti ya Makueni, waombolezaji walikashifu mauaji ya vijana na kuitaka idara ya pilisi kukamilisha uchunguzi kuhusu mauaji ya mwau na mwenzake Justus Muteumwa. na kama anavyoarifu francis odee, wengine wawili waliotekw anyara pamoja na Mwau, Stephen Mbisi Kavingu na Kalani Mwema bado hawajulikani waliko.