Masaibu yawakumba wakazi katika mwezi huu wa Ramadhan

  • | Citizen TV
    561 views

    Tofauti na wenzao wanaotamatisha mfungo wa siku kwa mapochopocho katika mwezi huu wa Ramadhan, wakazi wa eneo la Vango, Kaunti ya Tana River, wanahangaikia chakula cha kila siku