Maseneta wajadili ripoti kuhusu ufaafu wa kanja

  • | Citizen TV
    592 views

    Bunge la seneti limejidili ripoti ya kuidhinishwa kwa inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja ambaye alipigwa msasa juma lililopita. Mwenyekiti wa kamati ya Seneti kuhusu William Cheptumo ambaye ni seneta wa Baringo aliwasilisha ripoti hiyo