Mashabiki wa Shabana waondoka uwanjani Gusii baada ya Raila kufika, wakipinga uhusiano wake na Ruto

  • | Citizen TV
    22,600 views

    Kizaazaa Kilishuhudiwa Katika Uwanja Wa Gusii Wakati Kinara Wa Odm Raila Odinga Alifika Kushuhudia Mchuano Wa Timu Ya Shabana Fc. Baadhi Ya Mashabiki Waliondoka Uwanjani Wakitoa Kauli Za Kumpinga Rais William Ruto. Naye Rais Ruto Akizungumza Katika Kaunti Ya Uasin Gishu Ametetea Makubaliano Yake Na Odinga, Kama Stephen Letoo Anavyotuarifu