Mashabiki wajitokeza kwa wingi katika uga wa Kasarani kwa mashindano ya WRC Safari Rally

  • | TV 47
    87 views

    Mbio za WRC Safari Rally zilianzishwa rasmi na Rais William Ruto nje ya jumba la City Hall jijini Nairobi.

    Mashabiki wajitokeza kwa wingi kutoka Uganda, Tanzania na Kenya katika uga wa Kasarani kushabikia magari na madereva watakao shiriki.

    Ni siku ya kwanza ya mashindano haya.

    #TV47Matukio #WRCSafariRallyKenya2025

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __