Mashaka ya Shakahola

  • | Citizen TV
    70 views

    Familia za wahanga wa mauaji ya Shakahola zitalazimika kusubiri zaidi kabla ya zoezi la kuwatambua wapendwa wao kukamilika. Mwanakemia mkuu wa serikali amesema kuwa gharama ya kupata vifaa na vipimo pamoja na taratibu za ununuzi wa vifaa hivyo zimechelewesha zoezi hilo kwa miaka miwili sasa.