- 506 viewsWapalestina 47 wameuawa na darzeni kujeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto na wanawake katika mashambulizi ya usiku wa kuamkia Ijumaa yaliyotekelezwa na Israel katikati mwa ukanda wa Gaza. Shirika la habari la Palestina WAFA, limeripoti kwamba mashambulizi yametokea katika mji wa Deir Al-Balah, kambi ya Nuseirat, na katika mji wa Al-Zawayda. Jeshi la Israel limesema wanajeshi wake wamewalenga na kuwaua magaidi kadhaa waliokuwa wamejihami katikati mwa Gaza na kuua darzani kadhaa katika sehemu ya Jabalia, kaskazini mwa Gaza. Vita vya Gaza vilianza baada ya wanamgambo wa Hamas kushambulia Israel Oktoba 7 2023 na kuua watu 1,200, kuteka nyara 251 na kurudi nao Gaza. Mashambulizi ya Israel katika Gaza yameua zaidi ya wapalestina 43,000 na kuharibu kabisa sehemu hiyo. - Reuters
Mashambulizi yaliyofanywa na Israel yaua Wapalestina 47, darzeni wajeruhiwa
- - Duniani Leo ››
- 21 Apr 2025 - Britain said on Sunday two of its fighter jets had intercepted Russian aircraft over the Baltic Sea close to NATO alliance airspace in separate incidents on Tuesday and Thursday.
- 21 Apr 2025 - As Brazil, this year’s United Nations annual climate summit host, faces criticism for its continued interest in oil production, a leading development expert has come to the country’s defence. “Brazil has been portrayed by the media, activists and other…
- 21 Apr 2025 - South Sudanese government forces have retaken the town of Nasir which had been a flashpoint in a deepening political crisis, an army spokesman said on Sunday.
- 21 Apr 2025 - Former Prime Minister Raila Odinga has threatened to take legal action to contest the grabbing of 16 16-acre piece of land belonging to the Congo Mosque in Kwale County.
- 21 Apr 2025 - The Ministry of Health (MoH) is urging more vigilance after three new cholera cases were confirmed, raising the number of cases to 125.
- 21 Apr 2025 - Pressure mounts to relocate hazardous Naivasha dumpsite
- 21 Apr 2025 - Puzzle of lost police guns, M-Pesa robberies and murders in Mumias
- 21 Apr 2025 - Budget 2025: Kenya targets growth, reality suggests economic headwinds
- 21 Apr 2025 - Mosquitoes in Nairobi are close to 100 per cent harmless, says expert
- 21 Apr 2025 - Mombasa governor taken to task over allocation of Buxton Estate houses