Mashindano ya Kitaifa ya shule za upili kufanyika katika Kaunti ya Mombasa

  • | TV 47
    10 views

    Mashindano ya maeneo tofauti yanaendelea.

    Mashindano ya Kitaifa kufanyika katika Kaunti ya Mombasa.

    Mashindano hayo kuanza tarehe 5 hadi 13 mwezi Aprili.

    Mashindano hayo kujumuisha mchezo wa Vikapu.

    Raga ya wachezaji 15 kila upande, Riadha, Magongo na Handiboli.

    Waandalizi waonya kuhusu udanganyifu wa miaka.

    Mabingwa wa Vikapu Dr Aggrey walenga kutetea Ubingwa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __