Mashirika-47 ya serikali kuvunjiliwa mbali

  • | KBC Video
    80 views

    Sekta ya umma inatarajiwa kushuhudia mabadiliko makubwa huku serikali ikitangaza kuwa mashirika 47 yanayotekeleza wajibu sawia yatavunjiliwa mbali na wafanyakazi kurejeshwa katika wizara husika za serikali. Hatua hii inaambatana na mipango ya kupunguza gharama za utekelezaji shughuli kufuatia kuondolewa kwa mswada wa fedha wa mwaka-2024 kutokana na msururu wa maandamano. Mwanahabari wetu Tilio Marko na maelezo ya kina kuhusu mipango ya serikali ya kupunguza gharama zake wakati ambapo wizara ya utumishi wa umma imesitisha uajiri wa wafanyakazi wapya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive