Mashirika mbalimbali ya mazingira yashiriki mchakato wa uokotaji wa plastiki Mombasa

  • | TV 47
    12 views

    Mashirika ya kiserikali na ya kibinafsi yameendelea kuweka mikakati ya kuhakisha bahari katika maeneo ya pwani ni safi na salama kwa viumbe vya majini.washirka hayo na wakenya kutoka matabaka mbalimbali walikongamana jijni mombasa katika ufuo wa pirates walikoshiriki shughuli ya kuokota plastic ambazo zimetupwa kiholela baharini. John kinyanjui abaye ni mkurugenzi wa kenya coast guard service amesema kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha uhalifu na utupaji taka za plastiki unadhibitiwa kikamilifu. Viongozi wa wwf nao wametaka kuwe na sheria kali za kuwakabili wanaotishia mazingira. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __