Mashirika ya kijamii nchini yaungana na kupigana ukiukaji sheria na maafisa serikalini

  • | NTV Video
    324 views

    Mashirika ya kijamii nchini sasa yameapa kuungana na kupigana na kile kinachosemekana ni ukiukaji sheria na maafisa serikalini. Haya yanajiri wakiitaka mamlaka ya IPOA kuchunguza na kuwachukulia hatua kali maafisa wa polisi waliOtekeleza unyama dhidi ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia. Pia, wanaishtumu serikali kwa kuutetea mpango wa usimamizi wa uwanja wa JKIA na kampuni ya Adani Airpot Holdings. Kevin Mutai hapa na uketo wa taarifa hiyo..

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya