Mashirika ya kijamii West Pokot yatembea mashinani kuhamasisha umma kuhusu elimu

  • | Citizen TV
    76 views

    Mashirika ya kijamii katika kaunti ya Pokot Magharibi yameanzisha harakati za kutembea vijijini kuhamasisha wazazi kuhusu umuhimu wa kupeleka watoto wao shuleni. Hii ni baada ya takwimu kutoka shirika la KNBS kuonyesha kuwa kaunti ya pokot magharibi imesalia na zaidi ya asilimia 67 ya wasiojua kusoma wala kuandika.