Mashirika ya kijamii yanunulia wanafunzi vifaa vya masomo Samburu

  • | Citizen TV
    135 views

    Ukosefu Wa Sare Za Shule Na Vifaa Vya Masomo Ni Miongoni Mwa Changamoto Ambazo Zimezidi Kuzima Azma Ya Wanafunzi Wafugaji Kutoka Samburu Ya Kuendelea Na Masomo. Hali Hiyo Ikiyachochea Mashirika Yasiyokuwa Ya Serikari Kuingilia Kati Kuwakwamua Wafugaji.