11 Sep 2025 10:47 am | Citizen TV 283 views Duration: 1:48 Mashirika ya kutetea haki za binadamu sasa wanataka shirika la uhifadhali wanyama pori KWS kufidia familia waliopoteza maisha yao kupitia mashambulizi ya wanyama wao katika kaunti ya Tana River.