Mashirika ya kutetea haki za binadamu yalalamika

  • | Citizen TV
    101 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanataka serikali kuchukua hatua dhidi ya washukiwa wa mauaji dhidi ya wanawake.