Mashirika ya kutetea haki za kijamii yaweka mikakati ya kulinda na kuhifadhi mila za jamii za Lamu

  • | Citizen TV
    104 views

    Mashirika ya kutetea haki za kijamii katika kaunti ya Lamu yameweka mikakati ya kulinda na kuhifadhi mila, tamaduni na historia za jamii asilia zinazopatikana Lamu ili kuvifaa vizazi vinavyokuja .