Mashirika ya serikali yaapa kuongeza juhudi za kupambana na ufisadi

  • | KBC Video
    21 views

    Vita dhidi ya ufisadi humu nchini vimefikia kipindi muhimu, huku mashirika ya serikali yakiapa kuimarisha juhudi za kulinda mustakabali wa taifa. Na huku taifa hili likipambana na mgogoro wa madeni, maafisa wanatoa tahadhari, wakionya kwamba iwapo ufisadi utaendelea bila kudhibitiwa, uthabiti wa Kenya uko hatarini. Kwenye kitovu cha vita hivi ni wito wa umoja katika sekta zote, kuanzia idara ya mahakama hadi tume ya maadili na kupambana na ufisadi, wanapokabiliana na uovu ulioenea, na ambao unadhoofisha maendeleo ya taifa. Ben Chumba anaripoti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive