Mashirika ya serikali yameanza miradi kuwaondolea dhiki

  • | Citizen TV
    212 views

    Swala uhaba wa maji katika maeneo kame nchini linasalia kuwakosesha utulivu wafugaji na wakazi wa maeneo hayo