Mashirika ya Twaweza,Google na UNESCO yajitahida kuimarisha utumizi wa kiswahili kwenye mfumo wa AI

  • | Citizen TV
    59 views

    Shirika la twaweza likishirikiana na mashirika ya umoja wa mataifa la elimu, sayansi na utamaduni (UNESCO) na Google yanatia jitihadi kuhakikisha kuwa kiswahili kinatumika kwenye mfumo mpya wa kidijitali wa akili unde.