Mashirika yasema wahadumu wa afya 35,000 wamepoteza kazi kutokana na agizo la Trump

  • | Citizen TV
    188 views

    Washikadau wa sekta ya afya hasa kuhusu maradhi ya UKIMWI, malaria na kifua kikuu wanaitaka serikali kuharakisha kurejesha huduma za matibabu ya maradhi hayo baada ya marekani kusitisha ufadhili wake. Mashirika hayo yanasema kuwa wahudumu wa afya zaidi ya 35,000 wamepoteza kazi huku zahanati 150 zikifungwa kwa kukosa ufadhili humu nchini.