Mashirika yasiyo ya serikali yaitaka idara ya mahakama kufanya kazi bila kushawishiwa

  • | K24 Video
    3 views

    Mashirika mbali mbali yasiyo ya serikali nchini yameitaka idara ya mahakama kufanya kazi bila kushawishiwa na upande wowote wa kisiasa, ni kauli ambayo inajiri baada ya changamoto ikiwemo uhuru wa mahakama kutiliwa shaka, mashambulizi ya hivi punde kutoka mirengo ya kisiasa na tuhuma za kutaka kuwaondoa majaji wa mahakama ya juu.