Mashirika yataka mikataba ya Adani iwekwe wazi kwa umma

  • | Citizen TV
    784 views

    Kamati ya usalama ya hisa na ubadilishanaji sarafu ya marekani (SEC) imemtaka bilionea Gautam Adani kuandikisha taarifa chini ya siku ishirini na moja kufiuatia mashtaka dhidi yake nchini marekani kwa tuhuma za hongo. Taarifa hiyo inawalenga mwenyekiti wa adani group gautam adani na binamuye, sagar adani, kwa madai ya kuhusika katika sakata ya hongo ya mamilioni ya pesa. Aidha, vikundi vya kijamii humu nchini, chini ya mwavuli wa okoa uchumi, vinataka mikataba ya adani iliyositishwa iwekwe wazi kwa umma.