Mashirika yataka sheria ya kudhibiti mauaji ibuniwe

  • | Citizen TV
    62 views

    Baadhi ya mashirika ya kibinafsi yametoa wito kwa idara mbalimbali kutaka kubuniwa kwa sheria mahsusi kudhibiti visa vya mauaji vinavyo lenga wanawake nchini.