Mashirika yawatahadharisha Wakenya dhidi ya walaghai

  • | Citizen TV
    70 views

    Mashirika yanayoangazia ulanguzi wa watu humu nchini yameitaka serikali kubuni tume itakayoandaa mikakati ya kuzuia ongezeko la ulanguzi wa Wakenya