Maskwota Mombasa wataka suluhu ya haraka ya tatizo la ardhi

  • | KBC Video
    92 views

    Waziri wa ardhi katika kaunti ya Mombasa Mohammed Hussein amewahakikishia maskwota wanaoishi katika eneo la Port City suluhu la kudumu kwa maswala ya ardhi yanayowakabili. Hata hivyo, maskwota hao wamebaki na msimamo wa kumtaka gavana huyo kuharakisha na kutatua tatizo hilo kabla ya kufurushwa na wanyakuzi wanaodai kumiliki ardhi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive