Masomo yalitatizwa kwenye shule tatu Bureti wanafunzi walipoamua kumfuata mwalimu

  • | Citizen TV
    608 views

    Masomo katika shule ya msingi ya Sosit na mabwaita eneo bunge la Bureti yalitatizika baada ya wanafunzi na wazazi kuandamana kutaka kurejeshwa kwa mwalimu mkuu aliyehamishiwa. Wazazi na wanafunzi wanalaumu maafisa wa elimu kwa kumuondoa mwalimu mkuu ya shule hiyo bila kuwajulisha.