- 1,467 viewsViongozi wa dunia watakusanyika kwa mkutano mkuu wa kila mwaka katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York hapa Marekani. Mkutano unaanza Jumapili, ambapo masuala ya vita vya Gaza, Sudan na Ukraine, yanatarajiwa kupewa kipaumbele. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Masuala ya vita vya Gaza, Sudan na Ukraine kupewa kipaumbele katika mkutano wa UN
- 13 Nov 2024 - A female Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) candidate in Migori has died while battling kidney and heart complications.
- 13 Nov 2024 - A student sitting the ongoing Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) examination at Sironga Girls High School in Nyamira County on Tuesday collapsed after a Ministry of Education official beat her.
- 13 Nov 2024 - The United States on Tuesday banned all civilian flights to Haiti for a month, a day after three jetliners approaching or departing from its gang-ridden capital Port-au-Prince were hit by gunfire.
- 13 Nov 2024 - A series of exam breaches were detected at different schools on Tuesday, November 12 as officials work to protect the intergrity of the national exams.
- 13 Nov 2024 - Russia has deployed up to 200 military instructors to Equatorial Guinea in recent weeks to protect the presidency, sources told Reuters, showing Moscow is expanding its footprint in West Africa despite a recent defeat in Mali.
- 13 Nov 2024 - Police in collaboration with the Awendo sub-county community policing unit have arrested a man in his 30s who is accused of stealing a child aged two years in Kisumu county two weeks ago
- 13 Nov 2024 - Musk became a key ally to Trump during his campaign, reportedly spending over $100 million to help the Republican win and repeatedly boosting Trump's candidacy on X, the platform he owns.
- 13 Nov 2024 - Israeli strikes killed at least 14 people in Gaza, Palestinian authorities said, and plumes of smoke were rising above the southern Beirut’s suburbs less than an hour after Israeli forces told residents to evacuate.
- » Donald Trump picks Elon Musk to lead a Department of Government Efficiency and “slash” bureaucracy13 Nov 2024 - Elon Musk has been made head of a new "Department of Government Efficiency" by Donald Trump, the latest appointment to his emerging new team Trump says the billionaire businessman will co-lead the organisation with former Republican primary candidate…
- 13 Nov 2024 - At least 15 inmates were killed and 14 injured in clashes Tuesday at a prison in the Ecuadoran port of Guayaquil that has been plagued by violence, the state prison service said.