Matabibu wakosoa utekelezaji wa SHA

  • | KBC Video
    23 views

    Chama cha matabibu humu nchini-KUCO kinaitaka wizara ya afya kuandaa kikao cha ushirikishi wa umma kuhusu utekelezaji wa halmashauri ya afya ya jamii-SHA. Akiongea jijini Nairobi, mwenyekiti wa chama cha KUCO Peterson Wachira alikariri msimamo wa wahudumu wa afya kwamba manufaa ya hazina ya bima ya afya ya jamii-SHIF hayaambatani na matarajio ya wananchi wanaotarajiwa kuchangia fedha nyingi kwa hazina hiyo kila mwezi. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu na kina cha taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive