Matabibu wasitisha mgomo wa miezi mitatu Makueni

  • | Citizen TV
    96 views

    Muungano wa maafisa wa kliniki nchini (KUCO) umesitisha mgomo wa miezi mitatu wa maafisa wa kliniki kaunti ya makueni kwa kipindi cha siku 30 ili kutoa nafasi ya mazungumzo na kutafuta suluhu ya maswala waliyoibua. Hilo limeafikiwa baada ya serikali ya Makueni kuunda jopo kazi maalum litakaloangazia maswala yanayoibuliwa na wahudumu hao wa afya.