Mataifa mengine yameshakaribisha mwaka mpya

  • | KBC Video
    440 views

    Wakati Kenya na mataifa mengi ya Afrika yakijiandaa kuukaribisha mwaka mpya wa 2025, mataifa mbalimbali duniani tayari yameukaribisha mwaka mpya kwa sherehe na mbwembwe. Mataifa ya visiwa vya Pasifiki ya Kiribati yalikuwa ya kwanza kushuhudia ujio wa mwaka mpya saa saba mchana saa za Afrika Mashariki. New Zealand ilijiunga na sherehe hizo kwa maonesho ya fataki ya kuvutia kwenye mnara maarufu wa Auckland Sky Tower. John Kahiro anatupa taswira ya jinsi mataifa mbalimbali yalivyoukaribisha mwaka mpya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive