Mataifa ya Afrika yatakiwa kuweka mikakati ya kujitegemea baada ya kusitishwa kwa ufadhili wa kigeni

  • | KBC Video
    37 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi anasema kusitishwa kwa ufadhili kutoka mataifa ya nje,kumetoa fursa kwa serikali za Afrika kutumia rasilmali zilizopo kuendeleza ustawi wa kiuchumi. Mudavadi anasema ukosefu wa ufadhili huo wa kimataifa ni funzo kwa mataifa ya Afrika kutumia rasilmali vyema,kukomesha ufisadi na kuboresha maisha ya wananchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive