Mataifa ya EAC yashauriwa kukuza Kiswahili

  • | KBC Video
    27 views

    Balozi wa Kenya nchini Uganda Joash Maangi ametoa wito kwa mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili kuendeleza mshikamano wa kikanda. Maangi alisisitiza haja ya matumizi ya lugha ya Kiswahili katika biashara na mikutano rasmi miongoni wa mataifa manane ya jumuiya hiyo,akisema hatua hiyo ni muhimu katika kukuza uwiano wa kikanda. Matamshi yake yaliungwa mkono na balaozi wa Tanzania nchini Uganda Paul Kisesa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive