Mataifa yahimizwa kuwianisha sera zao kuhusu uhifadhi wa mazingira

  • | KBC Video
    36 views

    Wadau wa mazingira wametoa wito wa kuratibwa kwa sera za kimataifa kuhusu uhifadhi wa mazingira na sheria za kuimarisha juhudi hizo kati ya Kenya na mataifa mengine katika eneo la upembe wa Afrika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive