Mataifa yatafuta mwongozo wa kuwalinda watoto

  • | Citizen TV
    356 views

    Kongamano la kutafuta makubaliano na mwongozo wa kuwalinda watoto katika mataifa ya igad barani Africa limefanyika kwa mara ya kwanza jijini Nairobi mataifa wanachama wakiandaa mswada wa makubaliano hayo ili kuwalinda watoto wa kiafrika ikiwemo kudhibiti ulanguzi wa watoto na mbinu za kumwadhibu mtoto.