Urusi yakataa mapendekezo ya usitishaji mapigano kwa muda, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,902 views
    Msaidizi mkuu wa Rais Vladimir Putin amedokeza kuwa Urusi haitaki usitishaji wa mapigano kwa muda na Ukraine. Yuri Ushakov amesema siku thelathini za makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyopendekezwa na Marekani hayataipatia Urusi faida yoyote. Matamshi yake yanakuja wakati mjumbe maalum wa Rais Trump Steve Witkoff, akiwasili Moscow kujadili pendekezo hilo.