Putin atakubali mapendekezo ya kusitisha vita? katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,036 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema anapanga kuzungumza na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumanne, na kwamba mazungumzo ya kumaliza vita na Ukraine yatajumuisha jinsi ya kugawanya baadhi ya mali. Rais Trump, amewaambia waandishi wa habari kwamba juhudi nyingi zimefanywa kati ya maafisa kutoka Ikulu ya White House na Kremlin mwishoni mwa juma.