Watu 400 wauwawa katika shambulizi la Israel huko Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,089 views
    Ndege za kivita za Israel zimetekeleza mashambulizi mapya katika ukanda wa Gaza, ikiwa ni wimbi kubwa zaidi la mashambulizi tangu kusitishwa kwa mapigano na Hamas mwezi Januari. Maafisa wa Palestina wanasema zaidi ya watu 400 wameuawa, akiwemo afisa mkuu wa usalama wa Hamas huko Gaza, Mahmoud Abu Watfa.