Mashambulizi makali ya Urusi yaendelea Ukraine, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,533 views
    Urusi na Ukraine zimetekeleza mashambulizi mapya ya angani yaliyolenga miundombinu katika mataifa hayo mawili. Haya yanajiri wakati ambapo Rais Donald Trump na mwenzake wa Urusi Vladimyr Putin walizungumza kwa simu, na kukubaliana kusitisha hatua za kulenga maeneo hayo muhimu kwenye vita vinavyoendelea.