Matumaini ya kupata manusura Myanmar yafifia, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,436 views
    Matumaini yanafifia kwa timu za uokoaji nchini Myanmar na Thailand ambazo bado zinaendelea kutafuta manusura, wakati muda muhimu ukiyoyoma - saa 72 za kwanza baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw