Trump kutangaza ushuru mpya, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,005 views
    Rais wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kutangaza ushuru mkubwa wa kimataifa kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutoka nje - katika kile anachokiita 'Siku ya Ukombozi'. Anatarajiwa kutoa tangazo hilo katika Ikulu ya White House baadaye leo. Haijulikani ushuru utakwenda juu kiasi gani na ni nchi zipi ambazo zitalengwa, lakini ushuru huo unaweza kuathiri matrilioni ya dola za uagizaji wa bidhaa, na kuongeza hofu ya vita vya biashara ulimwengu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw