Mapigano mapya yaripotiwa mashariki mwa DRC, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,371 views
    Umoja wa Afrika (AU) umemteua rasmi Faure Essozimna Gnassingbé, Rais wa Jamhuri ya Togo,  kuwa mpatanishi mpya katika mchakato wa amani wa kutatua mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uteuzi huu umefanyika wakati mapigano mapya yakiripotiwa mashariki mwa DRC. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw