Makala maalum ya kifo cha Papa Francis, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,917 views
    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amefariki akiwa na umri wa miaka 88. Msemaji wa Vatican Kardinali Farrel amesema kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki alifariki katika makazi yake huko Casa Santa Marta Vatican. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw