Papa aagwa na maelfu ya watu Vatican, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,890 views
    Mwili wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis umebebwa kutoka Vatikan na kulazwa katika kanisa la Mtakatifu Petro - na sasa wananchi wana nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Papa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw